Afisa Elimu Sekondari Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Mwl. Majidu Kalugendo, ametangaza matokeo ya Mtihani ya upimaji wa Muhula wa Pili(Annual Exam) ya Kidato cha Kwanza na cha Tatu kwa Mwaka 2020 uliofanyika Mwezi Disemba kwa Shule zote za Sekondari za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma.Amesisitiza wanafunzi kuongeza bidii katika kujisomea pamoja na kujifunza ikiambatana na Walimu kuongeza bidii katika kufundisha ili kuboresha ufaulu wa vijana wao.
Matokeo kwa Kidato cha kwanza na cha tatu kishule pamoja na ufaulu wao ni kama ifuatavyo:
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa