Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri (W) ya Musoma anawatangazia Watanzania wenye sifa kuomba nafasi za kazi kumi na nne (14) katika Halmashauri hii baada ya kupata kibali kutoka Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa mchanganuo ufuatao:-
1. MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II – NAFASI NNE (04)
2. MWANDISHI MWENDESHA OFISI II – NAFASI TANO (05)
3. DEREVA DARAJA LA II – NAFASI TANO (05)
Kwa maelekezo zaidi soma tangazo lililoambatanishwa hapa chini :-
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa