Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Anapenda Kuwataarifu Wananchi wote waliochaguliwa kushiriki zoezi la Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka 2022 kuwa Mafunzo yatafanyika katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Buhare kilichopo Manispaa ya Musoma Tarehe 31 Julai 2022.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa