Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Ndugu. Msongela Nitu Palela anapenda kuutarifu umma kuwa, kutakuwa na mkutano wa kwanza wa baraza la Waheshimiwa Madiwani utakaofanyika siku ya Ijumaa, mwezi Disemba 05, 2025 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma uliopo Suguti - Kwikonero kuanzia saa 04:00 asubuhi.
Agenda za kikao:
1. Kufungua Mkutano.
2. Kiapishwa Waheshimiwa Madiwani.
3. Uchaguzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri.
4. Kuunda kamati za kudumu za Halmashauri.
5. Kupitisha Ratiba ya vikao vya Halmashauri kwa mwaka 2025/2026.
6. Kupokea taarifa ya Utekelezaji wa majukumu ya Halmashauri.
7. Kufunga Mkutano.
WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa