Watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma wanatakiwa kujaza fomu maalumu kwa ajili ya usafishaji wa taarifa zao za kiutumishi.Mwisho wa kupokea taarifa hizi ni siku ya Ijumaa Tarehe 10/06/2022. Ili kuipata fomu ya kujaza taarifa hizi, Bonyeza hapa
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa