TANGAZO LA KUTEULIWA KWA WATENDAJI WA VITUO VYA KUPIGIA KURA NA KUITWA KUHUDHURIA MAFUNZO YA UCHAGUZI
Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2025 na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na Kanuni ya 11 na 12 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za mwaka 2025; Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Musoma Vijijini anawatangazia walioteuliwa kuhudhuria mafunzo ya Uchaguzi.
Makarani waongozaji tarehe 25 Oktoba, 2025
Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi Wasaidizi wa vituo tarehe 26 - 27 Oktoba, 2025.
Katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Nyegina
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa