Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma anapenda kuwatangazia Wananchi wote, Taasisi za Umma na binafsi kuwa Halmashauri imepima viwanja vya matumizi mbalimbali katika eneo la Makao Makuu ya Halmashauri Suguti Kwikonero.Viwanja hivi vinapatikana nyuma ya Hospitali ya Wilaya maeneo ya ziwani ambapo kuna huduma zote ikiwepo Barabara pamoja na Umeme.Kwa maelekezo zaidi Bofya hapa TANGAZO VIWANJA.pdf
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa