Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ina eneo la maji ya ziwa Victoria lenye kilomita za mraba 197 pia ina wavuvi wapatao 9,678 na mitumbwi 2237 kwa takwimu za sensa ya Uvuvi Kitaifa ya mwaka 2019.
Aidha Halmashauri ya Wilaya ya Musoma imekuwa inahamasisha ufugaji wa samaki kwa ajili ya kuongeza kipato na lishe kwa wananchi. Aidha, zana za kuvulia samaki ni nyavu 35,520, nyavu za dagaa 799, na ndoano 1,305,360.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa