Halmashauri ya Wilaya ina jumla ya eneo la Ha. 96,000 ambalo linafaa kwa malisho ya mifugo. Hata hivyo maeneo mengi hayafai kwa ufugaji kutokana na ukosefu wa maji hasa wakati wa kiangazi.
Idadi ya mifugo iliyopo ni ng’ombe 122,334, mbuzi 82,670 na kondoo 27,218 na carring capacity ni 1.8 Hii inaonyesha kuwa tuna mifugo mara mbili ya inavyotakiwa.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa