• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Musoma District Council
Musoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maji
      • Ujenzi
      • AFYA
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • AFYA
    • KILIMO
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayoanzishwa
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mikataba ya huduma kwa wateja
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

MADIWANI WAPATA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO

Tuesday 27th, January 2026
@UKUMBI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA

Halmashauri ya Wilaya ya Musoma imetekeleza mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo Waheshimiwa Madiwani, yanayofanyika kwa muda wa siku tatu kuanzia tarehe 12 hadi 14 Januari, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Manispaa ya Musoma.

Mafunzo haya yamelenga kuwaongezea uelewa na uwezo Waheshimiwa Madiwani katika kulisimamia Baraza la Madiwani na Halmashauri kwa ujumla, hususan katika utekelezaji wa majukumu yake ya kisheria na kiutawala kwa manufaa ya wananchi.

Jumla ya Waheshimiwa Madiwani 28 wanashiriki mafunzo haya, ambapo 21 ni madiwani kutoka kila kata za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma na 07 ni madiwani wa viti maalumu.

Katika mafunzo hayo, mada mbalimbali zinawasilishwa zikiwemo uongozi na utawala bora, wajibu, majukumu, haki na stahiki za diwani, pamoja na usimamizi na udhibiti wa fedha katika Mamlaka za Serikali za Mitaa.

Mada nyingine muhimu ni pamoja na sheria zinazosimamia uendeshaji wa shughuli za Serikali za Mitaa, muundo, majukumu na madaraka ya Serikali za Mitaa, maadili ya Waheshimiwa Madiwani, pamoja na uendeshaji wa vikao na mikutano katika mamlaka za Serikali za Mitaa.

Kupitia mafunzo haya, Halmashauri ya Wilaya ya Musoma inalenga kuimarisha utendaji kazi wa Waheshimiwa Madiwani ili kuongeza ufanisi, uwajibikaji na uwazi katika utoaji wa huduma kwa wananchi.

Matangazo

  • MKUTANO WA KWANZA WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI November 27, 2025
  • SIKU YA KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI OKTOBA 29, 2025 October 29, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA KATIKA WA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 October 20, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI 2025 October 03, 2025
  • Angalia Yote

Habari za sasa

  • SIKU YA PILI YA KAMBI MAALUM YA UTATUZI WA KERO ZA WANACHI.

    January 27, 2026
  • KAMBI MAALUM YA HUDUMA YA KUTATUA KERO ZA WANANCHI – HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA

    January 26, 2026
  • KIKAO CHA UTAMBULISHO CHA WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO KWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA CHAFANYIKA

    January 23, 2026
  • KAMATI YA UCHUMI, UJENZI NA MAZINGIRA YAFANYA ZIARA YA KIKAZI KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO WILAYANI

    January 22, 2026
  • Angalia Yote

Video

MANDHARI INAYOPATIKANA KISIWANI RUKUBA, KATA YA ETARO HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal (PEPMIS)
  • Mfumo wa manunuzi (NeST)
  • PREM
  • PReMS
  • GMS
  • Mfumo wa kujisajiri kwa ajili ya bima ya afya (NHIF)

Tovuti mashuhuri

  • OWM - TAMISEMI
  • OR - UTUMISHI
  • NeST
  • NECTA
  • MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO (e-GA)
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.

    Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma

    Simu: 0282622163

    simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@musomadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa