Saturday 5th, October 2024
@VIWANJA VYA ZAHANATI YA KIJIJI MMAHARE
MWENGE WA UHURU UNATARAJIWA KUFANYA YAFUATAYO
1.Uzinduzi wa Ujenzi wa Zahanati Mmahare wenye jumla ya thamani ya Tshs 164,090,960
2. Kutembelea na kukagua uendelevu wa Ujenzi wa mradi wa maji bomba Kigeraetuma-Kakisheri wenye thamani ya Tshs 1,100,000,000
3.Kutembelea na uwekaji wa jiwe la msingi Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum( S/M Kwibara) chenye jumla ya thamani Tshs 125000000
4. Kutembelea,kukagua uendelevu wa mradi na kuweka Jiwe la msingi kwenye maabara 3 katika Shule ya Sekondari Bwai yenye thamani ya Tshs 422601000
5. Kufungua Ujenzi wa mradi wa maji bomba Chumwi -Mabui wenye thamani ya Tshs 1699895135.48
6. Kuweka jiwe la msingi Ujenzi wa barabara ya Mabui-Murangi KM 5.49 yenye thamani ya Tshs 92227000
7. Kutembelea na kukagua Kikundi cha Vijana Bukima chenye thamani ya Tshs 15000000
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa