Wednesday 25th, May 2022
@KIJIJI CHA KWIKUBA
Kutokana na wazazi na wananchi kuwa na mwamko mdogo katika shughuli za maendeleo,Halmashauri ya Wilaya ya Musoma kupitia mpango wa uboreshaji wa elimu(EQUIP) wameonyesha ni jinsi gani maeneo mengine yameendelea kimaendeleo kutokana na ushirikishwaji wa kila mmoja katika maendeleo badala ya kutegemea Serikali tu.
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa