• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Musoma District Council
Musoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maji
      • Ujenzi
      • AFYA
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • AFYA
    • KILIMO
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayoanzishwa
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mikataba ya huduma kwa wateja
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

MAFUNZO YA MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA SP KWA MIAKA 5 IJAYO KUANZIA 2026/2027–2030/2031

Posted on: January 30th, 2026

Katika kuendelea kuimarisha mifumo ya mipango na utekelezaji wa shughuli za maendeleo, Halmashauri imeendesha mafunzo ya maandalizi ya Mpango Mkakati (SP) wa miaka mitano kwa kipindi cha 2026/2027–2030/2031, yaliyofanyika kuanzia tarehe 29 hadi 30 Januari, 2026.

Mafunzo hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Charles Magoma, yamewakutanisha Wakuu wa Divisheni na Vitengo pamoja na watendaji mbalimbali wa Halmashauri kwa lengo la kujenga uelewa wa pamoja kuhusu mchakato wa maandalizi ya Mpango Mkakati, kubaini vipaumbele vya maendeleo, pamoja na kuweka misingi thabiti ya utekelezaji wa mipango ya muda wa kati na mrefu.

Kupitia mafunzo hayo, Halmashauri inalenga kuhakikisha Mpango Mkakati unaandaliwa kwa ufanisi, kwa kuzingatia miongozo ya kitaifa na mahitaji halisi ya wananchi.

Matangazo

  • MKUTANO WA KWANZA WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI November 27, 2025
  • SIKU YA KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI OKTOBA 29, 2025 October 29, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA KATIKA WA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 October 20, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI 2025 October 03, 2025
  • Angalia Yote

Habari za sasa

  • MAFUNZO YA MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA SP KWA MIAKA 5 IJAYO KUANZIA 2026/2027–2030/2031

    January 30, 2026
  • WATAALAM WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI WAFIKA KUFANYA UFUATILIAJI NA TATHIMINI YA UJENZI WA JENGO LA ONE STOP CENTER

    January 28, 2026
  • SIKU YA TATU YA KUTATUA KERO ZA WANANCHI.

    January 28, 2026
  • SIKU YA PILI YA KAMBI MAALUM YA UTATUZI WA KERO ZA WANACHI.

    January 27, 2026
  • Angalia Yote

Video

MANDHARI INAYOPATIKANA KISIWANI RUKUBA, KATA YA ETARO HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal (PEPMIS)
  • Mfumo wa manunuzi (NeST)
  • PREM
  • PReMS
  • GMS
  • Mfumo wa kujisajiri kwa ajili ya bima ya afya (NHIF)

Tovuti mashuhuri

  • OWM - TAMISEMI
  • OR - UTUMISHI
  • NeST
  • NECTA
  • MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO (e-GA)
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.

    Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma

    Simu: 0282622163

    simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@musomadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa