Walimu wakuu na Takwimu kwa Shule za Msingi na Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Musoma wapewa mafunzo ya Mfumo wa SIS pamoja na Sensaelimumsingi ikiwa na mkakati wa kuwajengea uwezo katika zoezi zima la ukusanyaji wa Takwimu zilizo sahihi na zenye uhalisia.Mafunzo hayo yametolewa leo Machi 23, 2023 katika vituo mbalimbali ndani ya Halmashauri.
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa