Mvua kubwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo April 4, 2023 Imesababisha mafuriko kwenye Kijiji cha Kusenyi ,Suguti. Tunamshukuru Mungu hakuna madhara kwa binadamu.
Uokoaji wa mali unaendelea kwa kushirikiana na Wananchi
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa