Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Musoma Ndg. Msongela N. Palela akipokea Mwenge wa Uhuru Leo Julai 10,2023 katika viwanja vya Soko Etaro ambao unatarajia kutembelea Miradi ya Maendeleo saba(7) yenye thamani ya Tshs 1,428,709,700 na unatarajiwa kukimbizwa Kilomita 102.3 katika Halmashauri yetu na Mkesha utakuwa katika viwanja vya shule ya Msingi Bwai.
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa