Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Ndg. Msongela Nitu Palela Leo Julai 31, 2024 katika Viwanja vya Zahanati ya Kijiji Cha Mmahare apokea Mwenge wa Uhuru Kwa Mwaka 2024 kutoka Kwa Mkurugenzi Mtendaji Manispaa ya Musoma Ndg. Bosco Nduguru.
Katika Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, Mwenge wa Uhuru 2024 utakimbizwa umbali wa Kilometa 76 Kwa Kutembelea, kuzindua pamoja na kuweka Mawe ya Msingi kwenye Miradi 7 yenye thamani ya bilioni 3.5
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa