Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Ndg. Msongela Palela Leo Mei 25, 2024 amefungua kambi ya Timu ya UMITASHUMTA ngazi ya Wilaya katika viwanja vya shule ya Msingi Suguti .
"Dhumuni la Kambi hili ni Kwa ajili ya kuwanoa watoto wetu Kwa ajili ya michuano ngazi ya Mkoa na hata Kitaifa Ili kurudisha heshima ya Wilaya yetu" . Afisa Elimu Awali na Msingi Mwl. Shemahonge ameeleza.
Ndg Palela ameahidi kuwafanyia sherehe pindi watakaporudi na ushindi kwani ndio lengo hasa la Halmashauri yetu kuwa kichwa siku zote na sio mkia
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa