Zoezi la upigaji kura katika Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara limeendelea kufanyika kwa amani na utulivu huku wananchi wakiipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa maandalizi mazuri.
Zoezi hilo lilimeanza leo Jumatano saa moja asubuhi na kushuhudia mwamko wa wananchi waliojitokeza kwa wingi katika vituo mbalimbali.
KurayakoHakiyakoJitokezeKupigaKura
#oktoba2025
#tumehuruyataifayauchaguzi
#uchaguzi2025
#UchaguziMkuu
#uchaguzi
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa