Mwenge wa Uhuru 2024 watembelea kituo Cha Wanafunzi wenye mahitaji maalumu Leo Julai 31, 2024 katika shule ya Msingi Kwibara B.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 Ndg. Godfrey Mnzava amesema Sera nzuri Kwa ajili ya kuhudumia kundi hili lenye mahitaji maalumu ndio kipaundele Cha serikali yetu." Ni haki yao kupata huduma zote ambazo wanapata watu wengine" . Amesisitiza Ndg. Mnzava
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa