KARIBU MWENGE WA UHURU 2025 HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA.
MWENGE WA UHURU UNATARAJIWA KUFANYA YAFUATAYO
MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU.
ENEO: Viwanja vya shule ya Msingi Kaburabura A & B – Kaburabura, Bugoji.
MKESHA WA MWENGE WA UHURU.
MUDA: Saa 12:00 Jioni.
ENEO: Viwanja vya shule ya Msingi Bwai A & B – Bwai Kusoma, Kiriba.
KAULI MBIU: “Jitokeze kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kwa amani na utulivu”
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa