• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Musoma District Council
Musoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maji
      • Ujenzi
      • AFYA
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • AFYA
    • KILIMO
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayoanzishwa
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mikataba ya huduma kwa wateja
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

SIKU YA TATU YA KUTATUA KERO ZA WANANCHI.

Posted on: January 28th, 2026

Januari 28, 2026 ilihitimishwa rasmi Kambi Maalum ya Huduma ya Kutatua Kero za Wananchi iliyofanyika katika Kata ya Kiriba, Wilaya ya Musoma. Mgeni rasmi katika hitimisho hilo alikuwa Mheshimiwa Juma Chikoka, Mkuu wa Wilaya ya Musoma, ambaye alifunga rasmi kambi hiyo baada ya kukamilika kwa zoezi la siku tatu. Katika hitimisho hilo, Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya alitembelea mabanda yote ya huduma na kupokea taarifa za mwenendo wa utoaji huduma, aina ya kero zilizoshughulikiwa pamoja na idadi ya wananchi waliohudumiwa katika kipindi chote cha kambi.

Akitoa taarifa ya jumla kuanzia siku ya kwanza hadi hitimisho, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, Ndg. Alade Maluli, alisema kuwa kambi hiyo imefanikiwa kwa kiwango kikubwa kutokana na ushirikiano mzuri kati ya wananchi, taasisi za Serikali na uongozi wa Halmashauri. Alibainisha kuwa wananchi walijitokeza kwa wingi kupata huduma mbalimbali na kuwasilisha kero zao, hali inayoonesha imani ya wananchi kwa Serikali yao.

Aidha, alieleza kuwa kero zote zilizopokelewa zimefanyiwa kazi kwa mujibu wa taratibu, huku zile zinazohitaji ufuatiliaji wa muda mrefu zikiwekwa katika mpango maalum wa utekelezaji. Ndg. Maluli alitoa shukrani kwa Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma, viongozi wa kisiasa na kiutendaji, pamoja na watumishi wote walioshiriki, kwa mchango wao katika kuhakikisha kambi hiyo inawafikia wananchi na kuimarisha uwajibikaji wa Serikali

Matangazo

  • MKUTANO WA KWANZA WA BARAZA LA WAHESHIMIWA MADIWANI November 27, 2025
  • SIKU YA KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI OKTOBA 29, 2025 October 29, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE SEMINA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI WAPIGA KURA KATIKA WA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 October 20, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI 2025 October 03, 2025
  • Angalia Yote

Habari za sasa

  • MAFUNZO YA MAANDALIZI YA MPANGO MKAKATI WA SP KWA MIAKA 5 IJAYO KUANZIA 2026/2027–2030/2031

    January 30, 2026
  • WATAALAM WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI WAFIKA KUFANYA UFUATILIAJI NA TATHIMINI YA UJENZI WA JENGO LA ONE STOP CENTER

    January 28, 2026
  • SIKU YA TATU YA KUTATUA KERO ZA WANANCHI.

    January 28, 2026
  • SIKU YA PILI YA KAMBI MAALUM YA UTATUZI WA KERO ZA WANACHI.

    January 27, 2026
  • Angalia Yote

Video

MANDHARI INAYOPATIKANA KISIWANI RUKUBA, KATA YA ETARO HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal (PEPMIS)
  • Mfumo wa manunuzi (NeST)
  • PREM
  • PReMS
  • GMS
  • Mfumo wa kujisajiri kwa ajili ya bima ya afya (NHIF)

Tovuti mashuhuri

  • OWM - TAMISEMI
  • OR - UTUMISHI
  • NeST
  • NECTA
  • MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO (e-GA)
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.

    Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma

    Simu: 0282622163

    simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@musomadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa