• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Musoma District Council
Musoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maji
      • Ujenzi
      • AFYA
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • AFYA
    • KILIMO
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayoanzishwa
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mikataba ya huduma kwa wateja
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

**TUNAENDELEA KUWASEMEA BUNGENI**

Posted on: July 16th, 2024

Mbunge wa Viti Maalum ambaye pia ni Mwakilishi wa Wafanyakazi Tanzania Mhe. Dkt. Alice Kaijage ametembelea Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Musoma pamoja na kufanya mazungumzo gikiwa ni pamoja na kero za Watumishi katika Halmashauri Leo Julai 16, 2024 katika Ukumbi wa Charles Magoma uliopo Suguti-Kwikonero.


Akiwasilisha baadhi ya Kero,Bi. Agnes Mshiu(Afisa Utumishi) amesema anaomba stahiki za watumishi wengine tofauti na kada ya ualimu ziweze kuzingatiwa kwani kundi hili huwa linasahaulika na mara nyingi fedha za malipo ya stahiki hizi kama uhamisho na likizo hutegemea mapato ya ndani hivyo kupelekea kutolipwa kwa wakati tofauti na kada ya ualimu ambao fungu lao huja moja kwa moja kutoka Serikali kuu.

Pia Bi. Agnes ameomba fedha za mikopo kwa Watumishi wa Serikali za Mitaa kutoka Serikali Kuu kuongezwa kwani kiasi kinachokuja kwa sasa hakitoshelezi mahitaji ya watumishi wote kama ilivyokuwa imekusudiwa.


"Naishukuru Serikali ya Awamu ya sita kwa kuona umuhimu wa kuwapandisha watumishi vyeo na nakuomba Mhe.Dkt Alice utufikishie salamu zetu za shukrani kwa Mhe. Rais wetu kwa kazi kubwa anayoifanya" Bi. Agnes akihitimisha.


Mhe. Dkt. Alice amewahakikishia watumishi kuwa mambo mengi ambayo ni kero kwao wameshayaongelea Bungeni na ataendelea kuyaongelea mpaka aone yametatuliwa hivyo waendee kuwa na Imani na Serikali yao inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na amewataka kumuunga mkono kwa kujitokeza kwa wingi katika kujiandikisha katika awamu hii ya uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura .

Matangazo

  • SIKU YA KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI OKTOBA 29, 2025 October 29, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI WA VITUO, WASIMAMIZI WASAIDIZI WA VITUO NA MAKARANI WAONGOZAJI 2025 October 03, 2025
  • MTIHANI WA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI (PSLE) KUANZA SEPTEMBA 10, 2025 NA KUMALIZIKA SEPTEMBA 11, 2025. September 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 2025 August 29, 2025
  • Angalia Yote

Habari za sasa

  • MHE. MTAMBI AWATAKA WAJASIRIAMALI WA MARA KUREJESHA MIKOPO KWA WAKATI NA KUSHIRIKI UCHAGUZI 2025

    October 02, 2025
  • MKUU WA WILAYA YA MUSOMA MHE JUMA ISSA CHIKOKA ASHIRIKI MUSOMA BONANZA ILIYOAMBATANA NA SHUGHULI MBALIMBALI

    September 27, 2025
  • KILIMO CHA BUSTANI KWA TEKNOLOJIA YA UMWAGILIAJI WA MATONE (DRIP IRRIGATION SYSTEM) SHULE YA MSINGI NYETASYO

    September 25, 2025
  • WATUMISHI AJIRA MPYA 149 KUTOKA DIVISHENI NA VITENGO MBALIMBALI WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI.

    September 18, 2025
  • Angalia Yote

Video

WATUMISHI WA UMMA MUSOMA DC WASHIRIKI MAZOEZI YA PAMOJA KUIMARISHA AFYA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal (PEPMIS)
  • Mfumo wa manunuzi (NeST)
  • PREM
  • PReMS
  • GMS
  • Mfumo wa kujisajiri kwa ajili ya bima ya afya (NHIF)

Tovuti mashuhuri

  • OR - TAMISEMI
  • OR - UTUMISHI
  • NeST
  • NECTA
  • MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO (e-GA)
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.

    Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma

    Simu: 0282622163

    simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@musomadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa