Halmashauri ya Wilaya ya Musoma imehitimisha kilele cha maadhimisho ya Lishe Kitaifa katika Kata ya Tegeruka, ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Mhe. Juma Chikoka.
Aidha, Wananchi wa Kijji Cha Kataryo wakiwa katika hali ya utulivu wakisikiliza hotuba ya Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mhe. Chikoka.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa