• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Musoma District Council
Musoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maji
      • Ujenzi
      • AFYA
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • AFYA
    • KILIMO
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayoanzishwa
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mikataba ya huduma kwa wateja
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

WATUMISHI WA UMMA MUSOMA DC WASHIRIKI MAZOEZI YA PAMOJA KUIMARISHA AFYA

Posted on: September 13th, 2025

Watumishi wa umma kutoka vitengo na idara mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma leo wamejitokeza kushiriki mazoezi ya pamoja ya mwili yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Suguti.

Mazoezi haya, yaliyohusisha jogging na mazoezi ya viungo, yameandaliwa kwa lengo la kuimarisha afya ya watumishi, kuongeza hamasa ya utendaji kazi, na kujenga mshikamano baina ya watumishi wote. yenye kaulimbiu isemayo  “Mazoezi ni Afya – Jenga Mwili Wako kwa Kufanya Mazoezi.”

Halmashauri ya Wilaya ya Musoma itaendelea kuratibu mazoezi ya aina hii mara kwa mara ili kuhakikisha watumishi wake wanadumisha afya bora, hali ambayo inachangia kuongeza ufanisi kazini.

Matangazo

  • MTIHANI WA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI (PSLE) KUANZA SEPTEMBA 10, 2025 NA KUMALIZIKA SEPTEMBA 11, 2025. September 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 2025 August 29, 2025
  • TANGAZO LA HESABU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 July 01, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA - 2023 December 14, 2022
  • Angalia Yote

Habari za sasa

  • WATUMISHI WA UMMA MUSOMA DC WASHIRIKI MAZOEZI YA PAMOJA KUIMARISHA AFYA

    September 13, 2025
  • MTIHANI WA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI (PSLE) SEPTEMBA 10 - 11, 2025.

    September 10, 2025
  • MWENGE WA UHURU 2025 WATUA MUSOMA DC

    August 16, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WAASWA KUZINGATIA SHERIA,MIONGOZO NA TARATIBU ZA UCHAGUZI MKUU 2025

    August 04, 2025
  • Angalia Yote

Video

WATUMISHI WA UMMA MUSOMA DC WASHIRIKI MAZOEZI YA PAMOJA KUIMARISHA AFYA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal (PEPMIS)
  • Mfumo wa manunuzi (NeST)
  • PREM
  • PReMS
  • GMS
  • Mfumo wa kujisajiri kwa ajili ya bima ya afya (NHIF)

Tovuti mashuhuri

  • OR - TAMISEMI
  • OR - UTUMISHI
  • NeST
  • NECTA
  • MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO (e-GA)
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.

    Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma

    Simu: 0282622163

    simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@musomadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa