Mkuu wa Wilaya Musoma Dr. Alfan Haule Leo Jan 10, 2024 katika ziara yake Shule ya Msingi Wanyere amewataka wanafunzi wote ambao hawajaanza kuja shule wahudhurie kwani masomo yameshaanza kutolewa na Walimu wamejipanga kuongeza ufauli katika Shule hii.
Akiongea na wanafunzi pamoja na Walimu amewasisitiza kuongeza bidii katika ufundishaji na ujifunzaji Ili kuongeza ufauli kwani ndio nia ya Kila mmoja wetu hapa.
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa