Posted on: January 26th, 2026
Halmashauri ya Wilaya ya Musoma imeanza rasmi leo, tarehe 26 Januari 2026, siku ya kwanza ya utekelezaji wa Kambi Maalum ya Huduma ya Kutatua Kero za Wananchi. Kambi hii itatekelezwa kwa muda wa siku ...
Posted on: January 23rd, 2026
Leo kimefanyika kikao cha Wakuu wa Divisheni na Vitengo cha utambulisho kwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, Mhe. Samweli Akello Maregesi.
Kikao hicho kililenga kumpa fursa Mwenyekiti...