Posted on: October 29th, 2025
Zoezi la upigaji kura katika Jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara limeendelea kufanyika kwa amani na utulivu huku wananchi wakiipongeza Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi kwa maandalizi mazuri.
...
Posted on: October 26th, 2025
Wasimamizi wa Vituo 418 na Wasimamizi wa wasaidizi wa Vituo 752 vya uchaguzi Jimbo la Musoma Vijijini, wamehimizwa kusimamia viapo vyao na kujiepusha kuwa chanzo cha malalamiko na vurugu wakati wote w...
Posted on: October 25th, 2025
Makarani waongozaji wa uchaguzi Jimbo la Musoma Vijijini, wamehimizwa kusimamia viapo vyao na kujiepusha kuwa chanzo cha malalamiko na vurugu wakati wote wa zoezi zima la upigaji kura siku ya Jumatano...