Posted on: December 3rd, 2025
Siku ya Afya na Lishe ya kijiji cha Kusenyi, kata ya Suguti, imefanyika leo tarehe 3 Desemba 2025 na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali ya kata na vijiji. Viongozi hao ni pamoja na Mtendaj...
Posted on: December 2nd, 2025
Utafiti wa tathmini ya utoaji wa huduma ya matone ya Vitamini A umefanyika katika kipindi cha Septemba hadi Oktoba 2025. Utafiti huu umefuatia zoezi la utoaji wa matone ya Vitamini A kupitia Kampeni y...
Posted on: November 28th, 2025
Timu ya Wataalam kutoka Divisheni na Vitengo mbalimbali imetekeleza ziara ya ufuatiliaji na ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Ziara hii imelenga kutathmini hatua z...