Tuesday 20th, January 2026
@TANGANYIKA
UTULIVU NA AMANI NDIO NGUZO YETU, TUILINDE AMANI YETU.
Uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, Menejimenti na watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji Ndugu. Msongela Palela unaungana na Watanzania wote kusherekea miaka 64 ya uhuru wa Tanganyika kwa amani na utulivu.
HERI YA MIAKA 64 YA UHURU WA TANGANYIKA.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa