• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Musoma District Council
Musoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maji
      • Ujenzi
      • AFYA
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • AFYA
    • KILIMO
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayoanzishwa
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mikataba ya huduma kwa wateja
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

Video

  • WATUMISHI WA UMMA MUSOMA DC WASHIRIKI MAZOEZI YA PAMOJA KUIMARISHA AFYA

    September 13th, 2025

    Watumishi wa umma kutoka vitengo na idara mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma leo wamejitokeza kushiriki mazoezi ya pamoja ya mwili yaliyofanyika katika viwanja vya Shule ya Msingi Suguti.

    Mazoezi haya, yaliyohusisha jogging na mazoezi ya viungo, yameandaliwa kwa lengo la kuimarisha afya ya watumishi, kuongeza hamasa ya utendaji kazi, na kujenga mshikamano baina ya watumishi wote. yenye kaulimbiu isemayo  “Mazoezi ni Afya – Jenga Mwili Wako kwa Kufanya Mazoezi.”

    Halmashauri ya Wilaya ya Musoma itaendelea kuratibu mazoezi ya aina hii mara kwa mara ili kuhakikisha watumishi wake wanadumisha afya bora, hali ambayo inachangia kuongeza ufanisi kazini.

  • MAKABIDHIANO YA MWENGE WA UHURU 2025 KATI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA NA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MUSOMA

    September 2nd, 2025

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Ndg. Msongela Nitu Palela ameukabidhi Mwenge wa Uhuru kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Musoma Ndg. Bosco Ndunguru katika viwanja vya Chuo cha maendeleo ya jamii Buhare



  • MAPOKEZI YA MWENGE WA UHURU 2025 NDANI YA WILAYA YA MUSOMA.

    September 2nd, 2025

    Mwenge wa Uhuru 2025 leo 16 Agosti 2025 umepokelewa Wilayani Musoma.

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mhe. Juma Chikoka akiupokea Mwenge wa Uhuru  leo Agosti 16,2025 katika viwanja vya shule ya Msingi Kaburabura kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda Mhe. Aswege Enock Kaminyonge baada ya kuhitimisha mbio zake Wilayani Bunda katika Halmashauri ya Manispaa ya Bunda.

  • 1
  • 2
  • 3
  • 4
  • Next →

Matangazo

  • SIKU YA KUPIGA KURA KATIKA UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI OKTOBA 29, 2025 October 29, 2025
  • MTIHANI WA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI (PSLE) KUANZA SEPTEMBA 10, 2025 NA KUMALIZIKA SEPTEMBA 11, 2025. September 07, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI 2025 August 29, 2025
  • TANGAZO LA HESABU ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024 July 01, 2025
  • Angalia Yote

Habari za sasa

  • MKUU WA WILAYA YA MUSOMA MHE JUMA ISSA CHIKOKA ASHIRIKI MUSOMA BONANZA ILIYOAMBATANA NA SHUGHULI MBALIMBALI

    September 27, 2025
  • KILIMO CHA BUSTANI KWA TEKNOLOJIA YA UMWAGILIAJI WA MATONE (DRIP IRRIGATION SYSTEM) SHULE YA MSINGI NYETASYO

    September 25, 2025
  • WATUMISHI AJIRA MPYA 149 KUTOKA DIVISHENI NA VITENGO MBALIMBALI WAPEWA MAFUNZO ELEKEZI.

    September 18, 2025
  • MKUU WA MKOA WA MARA MHE. KANALI EVANS ALFRED MTAMBI AMKABIDHI MKURUGENZI MTENDAJI (W) NDUGU. MSONGELA NITU PALELA CHETI CHA KUTHAMINI (CERTIFICATE OF APPRECIATION) KWENYE MAADHIMISHO YA KILELE CHA MARA DAY YALIYOFANYIKA WILAYANI BUTIAMA 15 SEPTEMBA 2025.

    September 15, 2025
  • Angalia Yote

Video

WATUMISHI WA UMMA MUSOMA DC WASHIRIKI MAZOEZI YA PAMOJA KUIMARISHA AFYA
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi Portal (PEPMIS)
  • Mfumo wa manunuzi (NeST)
  • PREM
  • PReMS
  • GMS
  • Mfumo wa kujisajiri kwa ajili ya bima ya afya (NHIF)

Tovuti mashuhuri

  • OR - TAMISEMI
  • OR - UTUMISHI
  • NeST
  • NECTA
  • MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO (e-GA)
  • AJIRA

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.

    Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma

    Simu: 0282622163

    simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@musomadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa