Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dkt. Vincent Naano Anney akamata samaki waliochini ya ukubwa unaohitajika waliokuwa wanasafirishwa kwa uficho kutoka mwalo wa Bwai (Musoma vijijini) kuelekea Musoma Mjini. Akiongea na wananchi wa eneo la tukio leo tarehe 23/2/2018 katika kijiji cha Nyakatende, amekemea tabia mbaya ya baadhi ya wananchi kuendekeza biashara haramu hii ya uvuvi haramu
Mkuu wa Wilaya Musoma Dkt. Vincent Naano Anney akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda Bi.Lidya Bupilipili.
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa