Halmashauri ya Wilaya ya Musoma ni miongoni mwa Halmashauri 09 zilizopo ndani Mkoa wa Mara, Halmashauri hii ina fursa nyingi za uwekezaji, hasa katika sekta za Uvuvi, Madini, na Kilimo. Kwa kuwa inapatikana karibu na Ziwa Victoria, sekta ya uvuvi ni muhimu sana na ina potential kubwa ya kibiashara. Vilevile, madini na kilimo vinatoa nafasi nzuri kwa wafanyabiashara na wawekezaji kuwekeza na kupata faida.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa