• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Musoma District Council
Musoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maji
      • Ujenzi
      • AFYA
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • AFYA
    • KILIMO
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayoanzishwa
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mikataba ya huduma kwa wateja
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

Kilimo,umwagiliaji na ushirika

IDARA YA KILIMO MIFUGO NA UMWAGILIAJI

Majukumu ya Idara

1. Kusimamia na kuratibu ukaguzi mazao ngazi ya Halmashauri

2. Kusimamia mtandao wa mawasiliano ngazi ya Halmashauri.

3. Kuandaa utabiri wa uzalishaji mazao ngazi ya Halmashauri

4. Kufuatilia upelekaji wa taaluma ya uzalishaji mazao ngazi ya

Halmashauri.

5. Kuratibu na kufuatilia Programu zote za ugazi katika eneo husika

6. Kushirikiana na taasisi zisizo za kiserikali na mashirika ya umma

yanayojihusisha na uzalishaji, usindikaji na uuzaji wa mazao

7. Kuandaa mahitaji na upatikianaji wa pembejeo

8. Kusimamia udhibiti wa visumbufu vya mazao na mimea katika

ngazi ya Halmashauri

9. Kusimamia/ kuendeleza taaluma ya uzalishaji wa mazao ngfazi

ya Halmashauri

10. Kutafsiri sera kuhusu uendeshaji na uzalishaji mazao.

11. Kuandaa/ kuandika taarifa ya utekelezaji wa sekta ya kilimo

12. Kuandaa program za uendelezaji mazao.

13. Kuratibu huduma za umwagiliaji kwa wakulima

14. Kufanya tathimini ya Mazingira kabla na baada ya miradi ya

umwagiliaji

15. Kuwaelimisha wakulma juu ya sheria za kilimo

16. Kutoa ushauri wa kitaalmi juu ya matumizi ya pembejeo

17. Kushirikiana na vikundi vya wakulima kuhusu matatizo na

teknolojia sahihi za kutumia

18. Kuwafundisha wakulima mbinu bora za kilimo, matumizi ya

mbolea, madawa na pembejeo za kilimo.

19. Kuwafikisha wakulima matokeo ya utafiti

20. Kushirikiana na watafiti kuendesha vishamba vya majaribio

21. Kuandaa bajeti ya kawaida na maendeleo

22. Kukusantya takwimu za bei za mazao kila wiki na kila mwezi

23. Kukusanya takwimu za upatikanaji wa mazao katika masoko kila

wiki/mwezi

24. Kuwatambua wasambazaji wa pembejeo

25. Kuhamasisha uzalishaji wa mazao yab bustani

26. Kusimamia/ kuendeleza uzalishaji wa mbegu bora

27. Kutoa ushauri juu ya uendeshaji wa vyama vya ushirika

28. Kuratibu/kushiriki katika kutoa elimu ya ushirika shirikishi

29. Ukaguzi wa hesabu na kufuatilia uendeshaji wa vyama vya

ushirika kulingana na sheria ya vyama vya ushirika.

30. Kutoa mafunzo kazini juu ya uandikishaji wa vitabu vya hesabu

na kumbukumbu zote muhimu kwa viongozi, waandishi na

watunza hazina wa vyama vya ushirika

31. Kuhamasisha uanzishaji wa vyama vya ushirika

32. Kutoa ushauri juu ya uendeshaji wa vyama vya ushirika

33. Kukagua vitabu vya hesabu na kushauri juu ya uendeshaji wa

vyama vya ushirika

34. Kufanya tathimini ya maendeleo ya vyama vya ushirika na kutoa

ushauri ipasavyo.

Matangazo

  • Fomu za kujiunga na Kidato cha Kwanza kwa Mwaka 2021 December 16, 2020
  • UPATIKANAJI WA TAARIFA ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KWA NJIA YA MTANDAO September 20, 2018
  • ORODHA YA WATUMISHI WALIOHAMISHWA BAADA YA KUOMBEWA VIBALI VYA UHAMISHO NA MAKATIBU TAWALA WA MIKOA TANZANIA BARA - JANUARI_FEBRUARI 2018 March 27, 2018
  • Kushiriki Mbio za Mwenge September 04, 2018
  • Angalia Yote

Habari za sasa

  • MAAFISA ELIMU KATA WATAKIWA KUWA WABUNIFU NA KUENDANA NA KASI YA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

    September 26, 2018
  • MUSOMA DC YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA KUTOKOMEZA KICHAA CHA MBWA DUNIANI,BUTIAMA

    September 28, 2018
  • WANANCHI WAJITOLEA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MUGANGO, UJENZI WAANZA

    October 01, 2018
  • MUSOMA DC: MIKATABA NANE YA UJENZI WA KITUO CHA AFYA MUGANGO YASAINIWA.

    September 21, 2018
  • Angalia Yote

Video

KAYOMBO AKEMEA VITENDO VYA KISHIRIKINA BUGOJI
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • YALIYOJILI KAMATI YA FEDHA
  • Agreement on provision of health services by Japan Government

Tovuti mashuhuri

  • Necta
  • Utumishi
  • Ajira
  • Salary Slip

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Musoma Town opposite to Airport

    Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma

    Simu: 0282622163

    simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@musomadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa