Idara ya Elimu msingi ni mojawapo ya idara 13 zilizoko Katika Halmashauri ya wilaya Musoma.Idara hii inajumla ya watumishi 11 ambao wanatekeleza majukumu katika vitengo vifuatavyo;
Majukumu ya Idara:
Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Elimu katika mfumo rasmi na elimu nje ya mfumo rasmi katika Halmashauri ya wilaya musoma. Aidha ni pamoja na,
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa