• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Musoma District Council
Musoma District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Halmashauri
    • Idara
      • Maji
      • Ujenzi
      • AFYA
      • Utumishi na Utawala
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ukaguzi wa ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • AFYA
    • KILIMO
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi itakayoanzishwa
  • Machapisho
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Sheria Ndogo
    • Mpango Mkakati
    • Mikataba ya huduma kwa wateja
    • Taarifa kwa Umma
  • Kituo cha Habari
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa Umma
    • Hotuba za Viongozi

MTAMBI APONGEZA MUSOMA DC

Posted on: June 2nd, 2025


Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Evans Alfred Mtambi leo Juni 2,  2025 ameshiriki Baraza maalum la madiwani kujadili Hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Musoma kwa kupata hati safi kwa miaka mitatu mfululizo.

Aidha, Mhe. Mtambi ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Musoma kwa kufanikiwa kukusanya shilingi bilioni 2.2 za mapato ya ndani hadi tarehe 30 Mei, 2025 na kuitaka  kuvuka lengo la makusanyo kwa muda uliobakia.

"Mpaka sasa mmefika asilimia zaidi ya 93 ninauhakika mkijipanga vizuri mtaweza kukusanya zaidi ya asilimia 100" amesema Mtambi.

Mhe. Mtambi ameitaka Halmashauri hiyo kuongeza ubunifu katika kupanua vyanzo vya mapato ya Halmashauri.                  

Matangazo

  • TANGAZO LA MATOKEO YA USAILI WA WAANDISHI WASAIDIZI August 23, 2024
  • TANGAZO LA KAZI July 25, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI August 17, 2024
  • MATOKEO YA UPIMAJI MTIHANI WA MOCK KIWILAYA KWA MWAKA 2023 May 17, 2023
  • Angalia Yote

Habari za sasa

  • MTAMBI APONGEZA MUSOMA DC

    June 02, 2025
  • **HUU NI MTEGO KWA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA**

    March 11, 2025
  • Bodi ya pamba Tanzania yatoa baiskeli Kwa wakulima wawezeshaji wa zao la pamba

    November 12, 2024
  • KAMATI YA FEDHA, UTAWALA NA MIPANGO YAKAGUA UJENZI WA VYOO SHULE ZA MSINGI

    November 01, 2024
  • Angalia Yote

Video

MWENGE WA UHURU 2024 WASISITIZA MATUMIZI YA MFUMO WA NEST
Video zaidi

Kurasa za karibu

  • Watumishi portal(ess)
  • YALIYOJILI KAMATI YA FEDHA
  • Agreement on provision of health services by Japan Government
  • PREM

Tovuti mashuhuri

  • Necta
  • Utumishi
  • Ajira
  • Salary Slip

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana nasi

    Musoma Town opposite to Airport

    Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma

    Simu: 0282622163

    simu ya mkononi:

    Barua pepe: ded@musomadc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Sitemap
    • Huduma

Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa