Mkuu wa Wilaya ya Musoma na Mwenyekitiwa Ulinzi na Usalama wa Wilaya Mhe. Juma Issa Chikoka akiongozana na Viongozi wa Ulinzi na Usalama ngazi ya Wilaya na Wataalam kutoka Halmashauri ya Wilaya yaMusoma Jana Juni 18, 2025 wamefanya ziara ya ukaguzi wa miradi iliyopendekezwa kutembelewa na mbio zaMwenge wa Uhuru Kwa Mwaka 2025 katika Halmashauri yetu.
Aidha miradi iliyopendekezwa katika mbio za Mwenge wauhuru ambayo ndiyo iliyotembelewa ni pamoja na , Mradi wa Shule shiziki KaburaburaB, Mradi wa vijana (Small scale Mining Group) Ujenzi wa Plant Kaburabura na Mradi wa Vizimba vya samaki Suguti.
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa