Halmashauri ya Wilaya ya Musoma imepokea jumla ya Tshs Milioni 700 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya Madarasa 35 pamoja na kutengeneza samani za wanafunzi ambazo ni Viti 1750 pamoja na Meza 1750.
Kwa sasa tuko katika hatua za umaliziaji wa vyumba hivyo vya madarasa pamoja na utengenezaji wa samani za madarasa hayo ambazo ni viti pamoja na meza.
Bofya hapa kupata utekelezaji wa kila shule iliyopokea fedha hizo
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa