Leo Julai 19, 2025 yamefanyika mazoezi ya Jogging kuanzia Kijiji Cha Bwai Kwitururu hadi Bwai Kumsoma.
Jogging hii imeandaliwa na Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Musoma, Wataalam mbalimbali wa Halmashauri ya wilaya ya Musoma kwa kushirikiana na Wananchi wote ndani ya Halmashauri ya Wilaya.
Lengo kuu ni kufanya hamasa kwa wananchi kushiriki katika shughuli za mbio za Mwenge wa uhuru na UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa