"Mazingira ya Hospitali ya Wilaya Musoma ni lazima yaboreshwe.Huduma zinazotolewa hapo bado hazijakidhi viwango vyake kama ilivyokuwa imekusudiwa hivyo ni lazima Mkurugenzi tujiongeze ili kuboresha huduma kwa jamii" Mkuu wa Wilaya Musoma Dr. Haule Alfan ameyasema hayo na kuitaka Menejimenti kuchukua hatua za ziada katika uboreshaji wa huduma za afya katika Hospitali ya Wilaya Leo Machi 24, 2023 katika Kikao cha kujadili Huduma za Afya ya Msingi(PHC) kwa Mwaka 2022 katika ukumbi wa Halmashauri.
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa