Mkuu wa Wilaya ya Musoma Mhe. Juma Chikoka amewaongoza wananchi na wadau mbalimbali wa Wilaya ya Musoma katika bonanza lililohusisha michezo na burudani mbalimbali Bonanza hilo lililofanyika Leo Septemba 27, 2025 katika fukwe za Hotel ya "Le Grande Hotel Bweri" lilitanguliwa na matembezi yaliyoanzia uwanja wa shule ya Msingi Mukendo na kuhitimishwa katika fukwe hizo.
Aidha, Bonaza hilo kimefanyika mahsusi kwa ajili ya kuwahamasisha wananchi kushiriki kikamilifu katika mazoezi pamoja na kuhamasisha wananchi kushiriki katika uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanya tarehe 29, Oktoba 2025.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa