Meneja Mahusiano ya Benki ya NMB Kanda ya Ziwa Bi.Suma Livingstone Mwainunu Leo Juni 26, 2023 ameongea na Wakuu wa Idara na Vitengo vya Halmashauri ya Wilaya Musoma kwa kuelezea huduma mbalimbali zinazotolewa na Benki hiyo ikiwa ni pamoja na Mikopo bora na salama kwa Wananchi na Watumishi wa Umma.Ameelezea kuwa Benki ya NMB ni ya Wananchi na hivyo inawajibu wa kurudisha sehemu ya faida yake(Asilimia 1) kwao kwa kupitia uimarishaji wa Vituo vyetu vya kutolea huduma za afya pamoja na Shule kwa kuziwezesha kutoa huduma zilizo bora zaidi.
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa