Menejimenti na Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma wanatoa pongezi za dhati kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Mheshimiwa Dkt. Emmanuel Nchimbi, Makamu wa Rais, kwa kuchaguliwa kuiongoza Nchi ya Tanzania kwa miaka mitano (2025 - 2030)
Tunawatakia afya njema na mafanikio mema katika kuliongoza taifa letu kuelekea maendeleo endelevu.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa