Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Musoma Vijijini Ndg. Magange Mwita amewaasa Wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya kata kuhakikisha wanafuata sheria, Miongozo na taratibu zote za uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025
"Hakikisheni mnafuata sheria, kanuni, taratibu, miongozo pamoja na maelekezo mbalimbali yatakayotolewa na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi." Amesema Ndg. Magange Jana tarehe 04 Agosti, 2025 wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya kata yanayoendelea kufanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Halmshauri kuelekea uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mwaka 2025
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa