Watumishi waliopatiwa mafunzo hayo ni takribani 149 kutoka kwenye Divisheni na Vitengo mbalimbali kama ifuatavyo, Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu, Divisheni ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Divisheni ya Mipango na Uratibu, Divisheni ya Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii, Divisheni ya Maendeleo ya Jamii, Divisheni ya Miundombinu na Ujenzi, Kitengo Cha Fedha na Uhasibu. Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, Kitengo cha Tathmini na Ufuatiliaji na Kitengo cha Ukaguzi wa ndani.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa