Mkuu wa Wilaya ya Musoma na Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya Mhe. Juma Issa Chikoka ameongozana na Taasisi pamoja na Wataalam mbalimbali kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Musoma leo Julai 02, 2025 wamefanya ziara ya mkutano wa hadhara kwa wananchi wa Kijiji cha Chirorwe kilichopo kata ya Suguti pamoja na Kijiji cha Saragana kilichopo kata ya Nyambono juu ya utatuaji wa kero mbalimbali zinazowakabiri wananchi wa Wilaya ya Musoma.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa