Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Kanali Evans Alfred Mtambi leo Julai 23, 2025 amefanya ziara katika Halmashauri ya Wilaya ya Musoma kwa ajili ya ukaguzi wa miradi itakayopotiwa na MWENGE WA UHURU kwa mwaka 2025.
Aidha, Mkuu wa Mkoa ameiongoza Kamati ya Usalama ya Mkoa kukagua miradi itakayopitiwa na Mwenge wa Uhuru mwaka 2025 katika Mkoa wa Mara.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa