Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma anapenda kuwataarifu waombaji waliokidhi vigezo vya nafasi mbalimbali zilizotangazwa kuwa Usaili utafanyika Tarehe 15 Novemba 2022 Katika Ukumbi wa Parokia ya Kanisa Katoliki Mugango kuanzia saa mbili kamili asubuhi(2:00).
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa