Sunday 21st, December 2025
@Duniani
MAADHIMISHO YA SIKU YA USAFI DUNIANI TAREHE 20.09.2025.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Ndugu. Msongela Nitu Palela anawaalika Wananchi, Taasisi na Wafanyabiashara wa Halmashauri ya Wilaya ya Musoma Kujitokeza katika maadhimisho ya Siku ya USAFISHAJI DUNIANI
Kauli mbiu ya Maadhimisho ya mwaka huu ni "Tuungane Kwa Pamoja Kujifunza kupanga na Kuhimiza uimarishaji Huduma za Udhibiti wa Taka"
Ewe Mwananchi Shiriki kusafisha mazingira Yako
Nyote mnakaribishwa
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Suguti - Kwikonero, Barabara ya Majita) | 31117 - MUSOMA.
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa