Saturday 5th, October 2024
@VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA ANAPENDA KUWAJULISHA WANANCHI WOTE KUWA MAADHIMISHO YA WIKI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA YA MAMA YATAANZA KUFANYIKA KUANZIA TAREHE 1-7/08/2024 KWENYE VITUO VYOTE VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFYA HIVYO WAHUDHURIE BILA KUKOSA
Musoma Town opposite to Airport
Sanduku la Posta: P.o. Box 344 Musoma
Simu: 0282622163
simu ya mkononi:
Barua pepe: ded@musomadc.go.tz
Hatimiliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Musoma. Haki zote zimehifadhiwa